Katibu tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega amefariki dunia baada yakupata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara
Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta amesema Kwitega alikuwa akisafiri kikazi kuelekea mkoani Dodoma
“walipofika eneo la mdori mizani gari yao iligongana uso kwa uso na basi la Makara lililokuwa linatoka Babati kuja Arusha” RC Kimanta
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 66
مقاطع الفيديو ذات الصلة على RAS ARUSHA AFARIKI KWENYE AJALI, RC ASIMULIA TUKIO: