Leo Kanisa Linawakumbuka Watakatifu Watoto Mashahidi Ambao walioawa na Herode Pasipo Kuwa na Hatia yeyote. Tunaalikwa Wote Tuwe Walinzi wa Watoto, Tusiwaache Wenyewe na Wala Tusiwabague Kijinsia Wala kimaumbile. Mungu Atusaidie Tuwe Wazazi na Watoto Bora. Mungu Akubariki Siku ya Leo.
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: https://www.instagram.com/jugo_media/
Facebook: https://www.facebook.com/jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america