المدة الزمنية 11:25

HAKUNA KAMA MAMA | Kaswida Yenye Jibu KWANINI MAMA (New Video)

بواسطة Abnau Muhammad
15 364 مشاهدة
0
763
تم نشره في 2021/01/01

Kiukweli Hakuna Mwenye Thamani Ulimwenguni Kama Mama, Mama Amechukua Nafasi Kubwa Kuliko Baba Kwani Kazi Aliyoifanya Ya Kumlea Mwanawe Sio Lele Mama Bali Inahitaji Ujasiri Na Uvumilivu Kutokana Na Udhia Mbalimbali Anaoupata Katika Kumlea Kijana Wake Hivyo ABNAU Wameliona Hilo Na Kuamua Kutunga Mashairi Ya Kumsifu, Kumtukuza Na Kumpa Hadhi Yake Mama Kwa Nafasi Alionyesha Kwa Mwanawe Tangu Akiwa Mja Mzito, Kujifungua, Kumlea Na Kuweza Kuvumilia Shida Mbalimbali Ili Tu Kichanga Chake Kisipate Madhara, Acha Tu Tuseme HAKUNA KAMA MAMA. ---Follow Us On Instagram: https://www.instagram.com/abnau_muhammad/ ---Like Our Page On Facebook: https://m.facebook.com/SonsOfMuhammad/?ref=bookmarks ABNAU MUHAMMAD (0675633974) Mshairi: Maalim Seif & Ally Producer: Cholo Ahimt Directed by Abnau Muhammad HAKUNA KAMA MAMA | Kaswida Nzuri Sana Inayoeleza Thamani Ya Mama (New 2021) HAKUNA KAMA MAMA | Maalim Seif Achambua Umuhimu Wa Mama Qaswida Video #Qaswida #Mama #2021 #Nasheed #Mashairi #abnaumuhammad

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 361