المدة الزمنية 24:11

NTEMI EP 43 S02 | | Swahili Movie | | Bongo Movies Latest | | African Latest Movies

20 514 مشاهدة
0
254
تم نشره في 2023/07/27

Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 2. Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta! NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania. NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha. Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma. Hakika utajifunza kitu kikubwa. Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri. Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe. Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ........................................................................................................................................................................................... KAPAYA THE GREAT FILM Contact: 0655 218 331/0753 318 331 email. kapayamic75@gmail.com Instargram Kapayathegreat TANZANIA.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 63