المدة الزمنية 7:6

Nyerere Afunguka Wema Kuhamia CCM, Ataja Sababu za Kumjibu Polepole

بواسطة Global TV Online
63 064 مشاهدة
0
186
تم نشره في 2017/12/02

Subscribe /c/uwazi1 Muigizaji nguli nchini, Steve Nyerere, ambaye pia ni kada mkereketwa wa chama cha Mapinduzi (CCM), amesema kuwa amefurahishwa sana na kitendo cha Wema Sepetu kurudi nyumbani kutokea kule alipokuwa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Steve amesema kuwa maamuzi ya Wema hayajasababishwa na kesi yake inayomkabili ya madawa ya kulevya, wala hofu ya kuponea chupuchupu kubomolewa nyumba yao, badala yake ni mapenzi tu aliyokuwa nayo kwa CCM, Hasira tu ndiyo zilimuamisha na kwa sasa zimekwisha ameamua kurudi nyumbani. Aidha Steve Nyerere, ameongeza kuwa ujumbe wa katibu Muenezi wa CCM, Humphrey Polepole, wa kumtaka Wema aendelee kubaki Chadema, hakupendezwa nao ila anachokiona ni ameghafilikiwa tu, haikuwa kusudio lake, maana wanachama wote waliowahi kukiama chama hicho na kurejea hawakuwahi kuwekewa vikwazo vya aina yoyote hivyo kwa upande wa Wema atarudi vizuri kabisa. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 111