المدة الزمنية 19:28

DR.SEBI: ALIGUNDUA DAWA YA UKIMWI /KIFO CHAKE CHA UTATA

بواسطة Ananias Edgar TV
61 613 مشاهدة
0
853
تم نشره في 2020/08/05

DR.SEBI: ALIGUNDUA DAWA YA UKIMWI /KIFO CHAKE CHA UTATA Alfredo Bowman maarufu kama Dr. Sebi, hakutibu ukimwi tu, alitibu hadi kansa na kisukari kuharibu biashara za watu, wakamfugulia jumla ya kesi 2,781 kwa udanyanyifu na utapeli akashinda zote, akaja kubambikiziwa zengwe la utakatishaji fedha, akatupwa jela na kufia huko, tukaambiwa alikufa kwa nimonia. Dr. Sebi alianza kazi ya utabibu wa mitishamba baada ya wazungu kushindwa kumtibu kisukari, ugumba, athma na overweight, akaja kutibiwa kwa mitishamba huko Mexico, mgumba Sebi akajitwalia wake wawili na kubarikiwa watoto 17. Angewasikiliza wazungu, Sebi angekufa bila katoto. Ndo maana huwa nasema Waafrika wote tungejua kwamba sisi ndo wafalme wa tiba hapa duniani tusingepoteza pesa kwenye tiba za kizungu, badala yake tungemshukuru Mungu kwa zawadi hii ya utabibu aliyotupa bure na kisha tukaingia kuwatibu wagonjwa wote duniani maana imeandikwa ukishukuru Mungu anatenda usiposhukuru shetani anatenda! JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV? WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724 EMAIL: ananiasedgartv@gmail.com Follow Us On Instagram https://www.instagram.com/ananiasedgartz https://www.instagram.com/ananiasedgartv SUBSCRIBE https://bit.ly/2ZWGBXo Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research. ______________________________________________________________________________________________ SIMULIZI ZA MATUKIO: https://bit.ly/2XlNCzg HISTORIA ZA VIONGOZI: https://bit.ly/3ezWg2X ELIMU ZA UKOMBOZI: https://bit.ly/3eCOK7m

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 69