المدة الزمنية 12:7

Pigo kubwa Kigogo mwingine aikimbia CHADEMA

بواسطة HABARIMPYA TV
92 138 مشاهدة
0
209
تم نشره في 2018/01/09

Aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Bodi ya Udhaminia, na Mshauri wa Mameya wa Dar es Salaam, Muslim Hassanal ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho pamoja na nafasi zake zote za Uongozi na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo limetokea leo katika ukumbi wa Check Point Pugu Dar es Salaam ambapo Hassanal alirudisha kadi ya Chadema na kukabidhiwa mpya ya CCM na Makamu Mwenyekiti CCM bara, Philip Mangula.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 95