المدة الزمنية 5:24

JOKA KUBWA LAZUA BALAA KISAUNI ZANZIBAR

بواسطة KTV TZ ONLINE
32 323 مشاهدة
0
130
تم نشره في 2020/02/03

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Juma Maulid cc: Masoud Maganga cc: Sauti Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 84
  • @
    @salimharrasy7047منذ 4 سنوات Panahitajika tahadhari sana.
    Na ufanywe mfumo wa kuwatafuta kitaalam.
    Anajulikana chatu anapenda mizoga. Wategwe kwa kutumia mizoga. id="hidden1" class="buttons">
    Chatu anapenda kuzonga wanyama wadogo na watoto wadogo.
    Likitokea hilo kama hamna silaha.
    Kimbilieni kwenye mdomo wake vuteni chini na juu mlaini sana mara unachanika.
    Ingawa si rahisi kumpata sehemu ya kichwa huwa anajizonga.
    ....وسعت 5
  • @
    @aishanassor8130منذ 4 سنوات Subhana Allah , Allah atusalim salama. Jukumu lipo kwa jamii na serikali. Kwanza serekali itoe dawa ya kutoshaa kumwaga ktk msitu huo ya kuuwa wadudu hatar id="hidden2" class="buttons"> km hao. Thn wafuate wanajamii wa kijini hcho waungane kwa pmj na kufyeka msitu wte. Wanajamii wataweza kufyeka msitu pindi wakiamni usalama wa maisha yao utakuwepo baada ya dawa kumwaga ktk maeneo hyo.
    Me nasema hvi kwa sbb nipo nje na chuo nnachosoma kiko maeneo ya shamba kbsa ambpo kabla ya kufunguliwa hki chuo ilikua tu ni poriiii so wadudu wakubwa km hao ilikua ni weng sana sambamba na nyoka lkn kila baada ya muda wanamwaga dawa na Alhamdulillah mpk sasa na In sha Allah iendelee hvi haijawah kutokea madhara yyte
    ....وسعت 1
  • @
    @salumjumaruhaga2513منذ 4 سنوات Kitowea Safi sana,we ngosha Acha ushamba 1
  • @
    @leylaaliy9852منذ 4 سنوات Mh mtihani kuishi kwa hofu na michatu hio Allah awahihifadhi 11
  • @
    @alihemed7721منذ 4 سنوات Mh mtihani ila kama pana mapango hapo na wanaonekana ni wakumbwa hivo bs hapo wapo tena wengi serekali na wanachi wajitolee ili kuwaondoa wadudu kama hao 5
  • @
    @masoudyrashidy9041منذ 4 سنوات Poleni sana jamani kwa kweli ni mtihani Allah atatusaidia 1
  • @
    @issaali1321منذ 4 سنوات Ni mtihani mkubwa lkn tujue kuwa hayo. Maeneo chatu wapo assilia. Sasa binaadamu wamevamia lazima tujue kuwa hii dinia sio yetu peke yetu tusheee na viumbe wengine. Miaka ya nyuma ndio ilikuwa makaazi yao jamaani. 4
  • @
    @africanchocolate4216منذ 4 سنوات Mnge waita wachina wange mchukue na kwenda kutengeneza kitoweo safi sana ! Tena nasikia wana sema ni mtamu sana kwa chai ☕️ delicious
  • @
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477منذ 4 سنوات Muwe na tahadhari kubwa sana hasa wakt wa uck wasijekuleta madhara na watoto pia musiwaachie kuzurura humo kwenye vichaka mungu atawahifadhi inshallah
  • @
    @hanifasilima4816منذ 4 سنوات Hhhhh siyakucheka lln nimecheka uyo nyoka aloingia kwenye choo mt angekqenda jisaidia angetaman aridh icimame ashuke 3
  • @
    @rasykizanjbari4996منذ 4 سنوات Toba mimi tena hapo ningekaa kwa hofu nahic km atapanda juu ya nyumba yngu au mvunguni maana inatisha hiyo sehemu 2
  • @
    @stonetown578منذ 4 سنوات Mwitu mkubwa sana fyekeni kabla athari haikuzidi. 1
  • @
    @mussakiziyzi408منذ 4 سنوات Mmmh
    Hio ni neema kubwa ya kitoweo ktk maeneo yenu
    Nasema mumebarikiwa
  • @
    @husnatgamaah1335منذ 4 سنوات aiseee nilivyo muoga ningehama huko siku hiyo uwiiih
  • @
    @harounali485منذ 4 سنوات Ushauri wangu ni tumieni mbwa wa usasi au wa police kuwa tafuta makaazi yao.
    Mbwa wana uwezo wa kunusa na ku gunduwa walipo.
    1
  • @
    @awadhirajabu7754منذ 4 سنوات Kwakua Nyoka Ni Adui Kwetu Binadamu Nisawa Kabisa Kumuua Hata Mungu Alitupa Ruusa Ya Kuwatwanga Nyoka Mpige Kichwani Isipokua Nawe Binadamu Atakung'ata Kisigino Chako Nyoka Sio Mdudu Mwema Kamwe
  • @
    @ummulkurthumabeid2914منذ 4 سنوات Duh hili sio la lishapea mtihn huu anwenza kula mtu jmn tuwe makini
  • @
    @afropanorama4730منذ 4 سنوات wapo kwenye makaazi yao.sisi binadam ndo tunawafuata kwenye mazingira ya kwa kisingizio cha kujenga
  • @
    @dr.ajeyfemed5895منذ 4 سنوات Kwann watu wa mali asili na wizara husika wasifanye animal control kuwataftia sehem wakawapelela kuliko kuwauwa kuna visiwa havikai watu zanzibar wapelekwe huko
    Tunawahitaji hao wanyama
    6
  • @
    @asrymohd6690منذ 4 سنوات Huu mwaka kiboko January jamaa kasema hajui mwezgani
  • @
    @suleimanmazrui6942منذ 4 سنوات Hao nyoka nirafiki sana Bora muwaogope CCM. 1
  • @
    @husnatgamaah1335منذ 4 سنوات kwa vichaka hivyo lazima wawe wengi jipangen mpunguze hayo majani na mamiti yasiyo na msingi
  • @
    @sabrinaislam4200منذ 4 سنوات Mdhirikiane wenyewe sio kila kitu serekali
  • @
    @MahmoudAli-uk8ciمنذ 4 سنوات Pelekeni china biashara hio pesa nnje nje
  • @
    @naimamwambe8083منذ 4 سنوات Jamaa Ngosha untuangusha kwa nini usiwaite wa China watawatawavuna wote
  • @
    @osmanha6915منذ 4 سنوات Sinunui tena kiwanja huko kaeni na machatu yenu
  • @
    @muhammedabdalla5496منذ 4 سنوات Ni nyumban huko nasikitika kusikia ivyoo nawaombea kwa mungu awanusuru na wadudu wabaya km hao jp saiv sipo visiwan kwetu ila kisauni ni nyumban skuli yake ndio nilio soma toka la kwanza mkimbia kwao mtumwa
  • @
    @amourmtungo623منذ 4 سنوات Na ndio maana nilisema wangeitwa wataalamu kwa ajili ya kuwahifadhi. Chatu hana mwendo wa kasi kama nyoka. Binaadamu tuna akili zaidi ya chatu kwahio sio rahisi kutoroka kama wamehifadhiwa vizuri.
  • @
    @saidismailhamad3229منذ 4 سنوات Pumbavu serekali iache kazi ije kuua nyoka so si ata kwa bakoratu unauaa kila ktu eti serikali Kuna Mambo yakuita serikali Ila sio nyoka pekeangu naua ata afike futi 30
  • @
    @dr.ajeyfemed5895منذ 4 سنوات Ishu ni animal control ilisimsmievwaondoshwe sio kuwapiga silaha waende wahamishwe maeneo mengine 1
  • @
    @raiye5621منذ 4 سنوات Kila ki2 serekali kateni mamit yaso na umuhimu serekali itafanya mangapi 4
  • @
    @tumabhay8576منذ 4 سنوات Kila kt serikali kwani wananchi wa eneo hilo hawawezi kushirikiana na kufanya usafi na kuwauwa au kupelekwa sehemu husika. Mambo mengine mepec si lazima serikali jamani.
  • @
    @IlhaamMarshedمنذ 4 سنوات Duh Mimi naogopa jamn anaeogopa km mm subscribe kwenye youtube channel yng 3
  • @
    @rukiamohammed5031منذ 4 سنوات Mji umezungukwa na vichaka mno fyeken vichaka hivyo kukiwa hakuna hivyo vichaka hamta ona mdudu yoyote wa Aina hiyo daah mji utafikiri hawakai watu sa serikal iwasaidie nn Zaid ya nyie kujiongeza polen pia daah nimeogopa
  • @
    @amourmtungo623منذ 4 سنوات Ilikuwa ni muhimu kuwaita wataalam kwasababu ni muhimu kwa makumbusho na kwa hifadhi ya hao chatu kwa sote watalii na kizazi kijacho. Chatu hana sumu ila id="hidden13" class="buttons"> kula kwao kwa kipindi kitaalam huitwa “hibernation”. Maana yake mlo wao mmoja huchukua miezi mingi kabla hawajawa na njaa tena. Ni adimu kumbaka mwanadamu sana hupenda panya, paa na wanyama wa rahisi kupatikana. ....وسعت 1
  • @
    @ramadhanisuru1822منذ 4 سنوات Msiwauwe maliyasili wako karibun nanyie