المدة الزمنية 4:48

HATIMAYE MASHABIKI WAINGIA BURE/MILANGO YOTE WAZI/MVUA YAZIDI KUMIMINIKA KWA MKAPA

بواسطة Mpenja TV
17 906 مشاهدة
0
119
تم نشره في 2023/05/28

KIVUMBI NA JASHO LEO Ile Siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na Mashabiki wa Yanga na wadau wa Soka hapa Nchini imewadia ni leo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika Yanga SC itashuka Dimbani dhidi ya USM Alger Mchezo utapigwa hapa Dimba la Benjamin Mkapa majira ya Saa 10:00 Jioni... Mpenja Tv tupo hapa kukupa kila kitakachojiri hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa....

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 18