Klabu ya Simba leo imewatambulisha wachezaji wake wote mbele ya mashabiki wa timu hiyo kwenye tamasha kubwa ambalo hufanyika Agost 8 ya kila mwaka.
Tamasha hilo limefanyika kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam, katika sherehe ambazo zimeambatana na mchezo wa kirafiki kati dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana.
Aliyesimamia kazi ya kuwatambulisha wachezaji hao, ni Msemaji wa timu hiyo, Haji Manara.
@abdullahnassor9433منذ 5 سنواتI can't imagine the love and support from funs 11
@
@oxyrio1224منذ 6 سنواتi love thi manara is so passionate to.his job 7
@
@isunga1964منذ 5 سنواتHivi kuna mtu yupo hapa 2019 nasubilia kesho tarehe 6 Simba oyee 23
@
@mnzavachris5423منذ 6 سنواتtuliambiwa Chama atakuwa mchezaji wa mwisho kutambulishwa imekuaje? Mgeni rasmi alipaswa kuwa W/Mkuu ilikuaje? Kwa jopo hilo mazee, ingawa id="hidden1" class="buttons"> sawa dunia imebadilika kuwa na pesa ndo mpango mzima tulimuhitaji MO kweli?? Nahisi angefanyiwa namna kwenda saidia timu zile zenye uwezo mdogo kabisa angepewa hata 2/3 kabx ligi kuwa ya ushindani zaidi..ila kwa hilo NYOMI tungepaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama klabu ila ndoivo acha nifanye cjaona maana nikiangalia upande wa majirani wao ndo kaka zetu na ni mwaka 1 tu ila pameparanganyika hatar..heshima kwenu viongozi kuwaaminisha watu kujaa na kurejesha imani baada ya misimu karibia 3 kuwa twaonewa tu hakika vyura sijui kama hata mashabiki wao wasingekuwa wamejiuzulu saiv. ....وسعت6
@
@elizaatilio527منذ 5 سنوات Mackin Dida, Kaheza, Ahsante Kwasi, Salamba mbwembwe zoteeee zile wako wapiiii saiv 9
@
@iddimalifedha8163منذ 4 سنوات2020 lock down tunacheki now like zetu 10
@
@ramamambo4082منذ 6 سنواتManara nmn unavyoongea unahamaxixha xanaaa ad raha. THIX ix Ximba 15
@
@mariapialakanje3446منذ 3 سنواتThis is simba napenda sana Timu langu Simba❤️ 1
@
@allykazoa7065منذ 6 سنواتHaji manara wewe kweli ni msemaji bora katika nchi hii umejua kusherehesha sana 8
@
@bmaloo8864منذ 6 سنواتHuyu Jamaa Anajua Sn kuongea na kuwahamasisha wa2 Anafaa kupewa Cheo hichi,Yanga wanatakiwa Wamuajili ht Joti kazi inamfaa Sn baada y Jerry Muro hawana msemaji w mn 8
@
@josephngenohsangaya8479منذ 6 سنواتKweli mambo n moto,Simba mnyama,hongera sana Manara 6
@alexsulle9683منذ 6 سنواتmm yanga didah nakupenda hatari uko vizuri bro kuza kipaji 19
@
@marylulufocus2970منذ 6 سنواتdaah huu utambulisho sio wa kitoto yan nmecheka jaman 7
@
@mariapialakanje3446منذ 3 سنواتManara haki napenda unavyoongea na kutambulisha vixuri safii sanaa ❤️❤️
@
@shangwefisima3993منذ 5 سنواتJaman Okwi tulimzoea mrudisheni pliz.katoka mbali na Simba daah 2
@
@asha_homedecorationsمنذ 6 سنواتYani manara wewe ni shidaaa ni zaidi ya burudani ndani ya simbaaaaaaa this is simbaaaaaaaa 67
@
@emmanuelalphaxard9276منذ 5 سنواتMm shabiki wa yanga naomba manara nisogeze simba Niko radhi kusema ya watembeza bakuri 3
@
@unstoppableclassic9145منذ 5 سنواتDah! Nimekubali cimba ni chama la wana THIS IS SIMBA 7
@
@kamagakamaga6652منذ 5 سنواتMimi yanga ila nampenda sana manara kwa uhamasishaji wake 2
@
@neemamwaimu7040منذ 6 سنواتSimbaaa rahaaa jamaniila umri wa wachezaji nao mmmm..na niyonzima jaman 8
@
@jacquelinekanikile7258منذ 6 سنواتutaipenda! utaifurahia! kwa burudani motro na stress remover 1
@
@queenlizy837منذ 4 سنواتSimba kila anayemla humchukua ili akamle vizurii 1
@
@mariapialakanje3446منذ 3 سنواتHki Tz nxima Simba ndo yenye Mashabiki wengi kuliko Timu zotee , duhu Tzama umati wa watu hpoo 1
@
@moseswilliam1854منذ 6 سنواتmanara sikukuelewa hapa kuhusu chama ila sasa nimekuelewa kwa hizi mbwembwe nimeona mkuu 18
@
@ibnmoses979منذ 6 سنواتHuu umri utakuwa wa kucheza mpira na sio wa kuzaliwa haji ni fundi wa uhamasishaji sio Simba tu bali ligi kuu Tanzania 9
@
@chrispinsyrucsyruc3141منذ 5 سنواتManara huna kizuizi katka ushereheshaji hakuna wa kukufikia ase 4
@
@alexjeremia7686منذ 5 سنواتTuache masihalla manara anajua hadi anakera sasa 3
@
@NgelaTZمنذ 6 سنواتKwangu mm manara ndiye brand ya simba angekuwa spoken person wa tanzania kwa mtanzamo Wang anafaa 4
@
@stephanomchenya6344منذ 6 سنواتHv kwel masud mmemfukuza mmekosea sana 8
@
@BontamLeeمنذ 6 سنواتNdio mechi pekee ya kirafiki Africa,iliyoingiza mashabiki wengi kuliko zote. 2
@
@sadaleonard6898منذ 3 سنواتHaitokuja kutokea kumpata msemaji kama haji manala kwanza anavutia sisiju nimpe sifa gani tena ❤
@
@issaomary9520منذ 6 سنواتJamani tuacheni masiara mimi Azam lakini leo nakiri simba ina mashabiki wengi kuriko Tim nyingine hapo TZ huo ndio ukweri, 147
@
@mipawandilizu8783منذ 4 سنواتKuwa mshabiki wa Simba, ni raha sana Moyoni! Raha ajabu.,,,
@
@marwasalvatory1610منذ 6 سنواتThis is simba brother De Le boss 4
@
@chiponda4579منذ 6 سنواتsimbaaaaaaaaaaa. namuona azam pekee ndo mshindani wetu 1
@
@godwinbenedict4146منذ 6 سنواتTHIS IS SIMBAA..WAVIMBA MACHO ROHO ZINAWAUMAAAAA 37
@
@stevenmaketa8051منذ 6 سنواتNdio kwanza tunaanza kudadadadadeeeeki maiming huuuu mtakoomaa hakiamungu hiindoosiiimba bwana a mpak Mw's hiki WA aondoke maradarakan kaaz mnaayooo 11
@
@victordaniel8614منذ 6 سنواتjaman ko okwi miaka inarud nyuma okw toka miaka ya 2010 tunaamjua Leo mseemee ,26 huo n uongo kbs 6
@
@kavisheemanoela4648منذ 6 سنواتThis is simbaaa, raha xnaaaa, penda xn chama lnguuu 13
@
@romanrobinyo4311منذ 6 سنواتTHIS IS SIMBA, JAMANI WATU 65000, DAR HATALI 35
@
@florianmwaibabile5308منذ 5 سنواتHakika hakuna Mwenyezi bora tz kama manara ni zaidi ya mwenezi ni fire 3
Mgeni rasmi alipaswa kuwa W/Mkuu ilikuaje?
Kwa jopo hilo mazee, ingawa id="hidden1" class="buttons"> sawa dunia imebadilika kuwa na pesa ndo mpango mzima tulimuhitaji MO kweli??
Nahisi angefanyiwa namna kwenda saidia timu zile zenye uwezo mdogo kabisa angepewa hata 2/3 kabx ligi kuwa ya ushindani zaidi..ila kwa hilo NYOMI tungepaswa kuwa mbali sana kimaendeleo kama klabu ila ndoivo acha nifanye cjaona maana nikiangalia upande wa majirani wao ndo kaka zetu na ni mwaka 1 tu ila pameparanganyika hatar..heshima kwenu viongozi kuwaaminisha watu kujaa na kurejesha imani baada ya misimu karibia 3 kuwa twaonewa tu hakika vyura sijui kama hata mashabiki wao wasingekuwa wamejiuzulu saiv.
....وسعت 6
haji ni fundi wa uhamasishaji sio Simba tu bali ligi kuu Tanzania 9
De Le boss 4
THIS IS SIMBAAA