المدة الزمنية 3:56

KOFFI OLOMIDE ALIVYOPOKELEWA NA DIAMOND PLATNUMZ AKIINGIA TANZANIA

بواسطة Wasafi Media
134 896 مشاهدة
0
1.3 K
تم نشره في 2020/11/21

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺 𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻 𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻 𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ: 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 124
  • @
    @gbincentpourcent5543منذ 4 سنوات Wow, i'm impress by the respect Diamond his showing here. He's a huge deal but still acting so humble. Our so called "stars" could take a lesson on two here 1
  • @
    @tinaa6671منذ 4 سنوات We can’t wait to see this new song for this 2 11
  • @
    @bigbossmanbossman6946منذ 4 سنوات Trust me chombo kwa hewa kinapikwa kitu cha kufunga na kufungua mwaka Diamond platinumz ft mokonzi (koffi Olomide) the song of welcoming 2021 and closing 2020 . finally the African icons have spoken 15
  • @
    @AnonyMous-gb7qhمنذ 4 سنوات Whatever song they are about to come up with is about to lit AF I can’t wait. Koffi Forever ❤️❤️ 1
  • @
    @kadojr2964منذ 4 سنوات Namkubali sana mondi kama naww wamkubali like yako tujuane 43
  • @
    @nobelernestonel4685منذ 4 سنوات I like the way diamond reacting so humble 13
  • @
    @sirtiller5042منذ 4 سنوات Diamond may Allah give you life and forgives you where you were wrong.you are such a good and respecting person.the act of you helping loading the id="hidden3" class="buttons"> Mr coffi bags with the guy in red uniform is an act of honor and humbleness for such a person of your rank I this world.

    ....وسعت 22
  • @
    @itsangylifestyle1162منذ 4 سنوات I love Tanzania the way they do respect people .that why their country is blessed but jamani tafutieni @koffiolomidé translator 9
  • @
    @athanacedward7803منذ 4 سنوات Chibu D Chibu Dee mamb wao acha wapige majungu sisi 2nachapa kazi 6
  • @
    @barrysulty1756منذ 4 سنوات Gefelicerteed,diamond breor jij bent de beste!
  • @
    @cadeauirakoze3151منذ 4 سنوات Tunangojea hiyo video song y diamond n kofi 4
  • @
    @zimudaniel4001منذ 4 سنوات daa siamin kama kunakijana mdogo wa kitanzania anaweza kufanya vitu kama iv vitokee..broo fanya kazi tumejifunza kua kila kitu kinawezekana 8
  • @
    @afterfull-time1348منذ 4 سنوات Mond uzuri ww unaimba moja inakuingiza kwwny tuzo na kuzima Album za wapumbav mtaani acha wafanye mziki wajipongeze usio na tuzo wa world concert..Asante id="hidden4" class="buttons"> Mungu kwa kumleta huyu jamaa tz maana saana yetu isingekuwa bila yy msanii anapokelewa ata mwwnyw anahisi yupo mikono salama mfalme wa mziki africa mashariki..
    We are going to hold the platforms again guys are u ready?
    ....وسعت 23
  • @
    @josephvenus3259منذ 4 سنوات Haya sasa, msije sema nyimbo zenu hazipigwi nje bure. Changamkieni tenda wa kina korosho Simba we noma sana! wanyooshe tu . 12
  • @
    @kadojr2964منذ 4 سنوات Kama unakubali diamond simba kijana like hapo chin 24
  • @
    @pacifickamalebo6052منذ 4 سنوات Diamond tunamupenda sana CONGO msaniii wa kwanza tanzania nzima tena ana heshima na busara
  • @
    @judyroth8928منذ 4 سنوات Louisvitton papa mobimba cool swag karibu tizedi
  • @
    @heriholder2937منذ 4 سنوات Msanii wangu namba moja Africa nzima , Duniani ni 6ix9nine hutaki kafe mbele. 1
  • @
    @zuleikhakhamis3303منذ 4 سنوات km namuona mzee wa kiki kismall cha tandarimba kinavyoharisha na Ushamba wake mjini anawakalisha sana waja hichi kitu cha kufungia mwaka hongera kwako SIMBA japo SITAKIII ....وسعت 8
  • @
    @nishasalim2880منذ 4 سنوات Salam Sk tumbo ana mimba ya miezi mingapi?
  • @
    @yojulldavid6332منذ 4 سنوات Yaani ni kweli simba ka muita Kofi olomide tanzania ongera simba king afrika sasa kuna kosa uite cris brown
  • @
    @minzawalwa177منذ 4 سنوات Mabegi yote hayo au kakimbia corona France
  • @
    @silvanusremmy9575منذ 4 سنوات Hapo alipo pandia Koffi, nilimpandishaga mtu nikapigwa faini 30000 ( sio parking area)
  • @
    @magrethjoseph7754منذ 4 سنوات Kama unahisi mpenzi wako anachat kwa sms na michepuko na unahitaji kuziona meseji zao kwa siri bila kushika simu ya mpenzi wako ingia PLAYSTORE tafuta Application inayoitwa MAXNETA halafu download itakusaidia sana
  • @
    @azzamahamdu7039منذ 4 سنوات Ila kitambo nilimkubali sana daimond niljua atafanya makubwa tz.wadada mlomkarbisha kofie hamkujiandaa.mlitakiwa kutoa flower na kusalim kofie na simbaaaaa.naona mlibabaika.polen mweee chezea kofieee
  • @
    @ramadhanathuman940منذ 4 سنوات Ukiwa kwenye menejimenti ya wenye akili utafanikiwa kukutana na wengi pia utafanya mengi
  • @
    @zamoyonimangile4402منذ 4 سنوات Ulianza na mwanae kisanaa Yani Falii Pupa na Sasa ni zamu ya baba,, hivi Falii Pupa huwa anamdis kofii kwenye ngoma zake?
  • @
    @danneismail5442منذ 4 سنوات Sasa mshasikia king ni diamond # tusibishane tena 7
  • @
    @kingnicky2568منذ 4 سنوات Bomu limetegwa hilo najua linakarbia kulipuka 1
  • @
    @swalehthefinestمنذ 4 سنوات Yaani hii imefanywa kitaalamu zaidi hakuna media zakipuzi maana kungejaaa balaa
  • @
    @OfficialOchuمنذ 4 سنوات Napenda kujua airport mpya ni ya ndege za wapi na ya zamani ndege za wapi maana sielewi elewi
  • @
    @petromlwafu6922منذ 4 سنوات Et hawapigi nyimbo za WCB alaf wanajiita media kubwa iv huo ukubwa ni wenu na familia zenu tu et, DIAMOND PLATINUMZ kazima kila uchafu anaskika yeye id="hidden9" class="buttons">tu mamake mtakufa kwa kuugua mavindonda ya tumbo SIMBA ebu wakere zaid broo ....وسعت 1
  • @
    @salehestambul5535منذ 4 سنوات Juzi kati wkt taifastaz inacheza kunakakingi Fulani kalikuwepo jamaa wakaungana na kusema huyu ni star lkn hana makuu yupo simpo tu,hana mabodiguard wala id="hidden10" class="buttons"> nini na kumponda simba.Nilicheka sana, Kiba ni kweli star wako simpo km alivyo mwanafa,prof j,angekuwa Ben pol,jux nk.lakin km anapotokea yule mnyama(Mondi) ni tofauti watu wangejivuta wenyewe pasipo kuwaita, hivyo walinzi kwake ni lazima kwani huenda ikawafujo kwa hadhi aliyonayo uyo kamanda.Chibu baba lao. mmmh . ....وسعت
  • @
    @jphener9280منذ 4 سنوات C wanajifanya cjui ndo wana uyo cjui king wao na yeye alete msanii mkubwa mafala wale king ya ushunzi na uyo pimbi asijielewa atulie kimya tutamnyoosha tumemlea wenyewe fala yule simba baba lao ,.
  • @
    @setholivier4862منذ 4 سنوات kwani huu simba nafanya nini mbwembwe au
  • @
    @filbertnashon7160منذ 4 سنوات Jirani zetu wa kenya najua bado hawaja comments, nasoma text sioni. Na wanavopenda umbeyaleo hamtaki Chibu dangote ebu mtitiririke nyie wakenya. Mnatumia nyimbo zetu kutuzidi sisi wa bongo 1
  • @
    @jumakiatu.628منذ 4 سنوات wEwE mZee.koFiOLomiDe.aChAnA.nA.mAmBo.za.mUziKi.umEsHaZeeKa.mUrUdiE.MOrA.wAko.uTakuEndA.mOtoNi.sAsAiVi.tEnGenEzA.pEPO.yAko.mUdA.umEkWishA.
  • @
    @samsonhaule5422منذ 4 سنوات KOFI OLOMIDE Namuona kama Mr Nice hana ishu, kashapitwa na wakati.