المدة الزمنية 16:53

READERS ARE LEADERS - Tusome Pamoja 3

11 751 مشاهدة
0
331
تم نشره في 2019/03/15

Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI " /watch/AEB06hqV3uPV0 --~-- Readers are leaders, msomaji ni kiongozi na ataendelea kuwa kiongozi kwasababu anajifunza mbinu nyingi sana kutoka kwenye vitabu. Pia hii inaweza kuwa stori yako wewe ndugu yangu, anza kusoma leo kwani kuna mengi mazuri utayapata. Leo kwenye TUSOME PAMOJA, tunasoma The Greatness Guide 2 ya Robin Sharma chapter ya 3 inaitwa Power of simple. CHAPTER ONE hapa : /watch/s22=t&sDpKuDAZYmqZ= CHAPTER TWO hapa : /watch/UB_XSe7uwMjuX FAIDA 10 ZA KUSOMA VITABU : /watch/s9=t&YcgrG9juFwNut KUJIUNGA NA GROUP LA WHATSAPP : 0716-235-195 Kitu gani umejifunza kwenye chapter hii ya tatu? Nini ulikua unakosea katika maisha yako umekigundua katika video hii? Nini utaanza kukufanyia kazi? Natamani nisome maoni yako kwenye comments. Karibu sana. Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . NIFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/ TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne . For Business please send me an email ezdenjumanne@gmail.com #Simple #SuccessPath # #RobinSharma

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 66