المدة الزمنية 7:59

Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU

بواسطة Millard Ayo
418 716 مشاهدة
0
3.2 K
تم نشره في 2017/10/18

Unaweza kushtuka kidogo ukisikia Waziri wa Mafuta wa Oman kaongea Kiswahili fasaha tena bila kuchanganya lugha nyingine yoyote... yes, imetokea leo IKULU Dar es salaam baada ya kukutana na Rais Magufuli, tazama hii video umuone vizuri. Video kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano IKULU.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 934