المدة الزمنية 9:20

13 Twala Kakimbia Jela

بواسطة MzeeBarwani
28 595 مشاهدة
0
54
تم نشره في 2016/02/10

Aman Thani Fairuz anaelezea Idrisa Majura ameelezea kwamba Othman Shariff na Kasim Hanga tulikua pamoja kwa Mandera. Wote Othman na Hanga wameuliwa. Twala na Idrisa na Aman walifanya mipango ya kukimbia jela pamoja. Aman hakuyapenda mipango yao, wakakimbia pekeyao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6