المدة الزمنية 3:23

Mo Music ustaa pembeni.. Ofisini anasaga Mahindi

بواسطة Millard Ayo
103 430 مشاهدة
0
732
تم نشره في 2017/03/01

Msanii wa Bongofleva Mo Music aliwahi kusema ameamua kuweka nguvu zake na pesa yake kushirikiana na Baba yake Mzazi kuwekeza kwenye biashara ya kusaga Mahindi. Camera ya AyoTV imefika nyumbani kwao na kumkuta Mo Music ameweka Ustaa pembeni na kuingia kuwasagaia Mahindi wateja wanaofika kwenye ofisi ilipo Mashine yao.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 106