المدة الزمنية 5:9

Misungwi watakiwa kuyatumia masoko ya madini wapewa onyo kali

بواسطة BMG Online TV
460 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2019/08/07

Mkuu wa Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Juma Sweda amekagua shughuli za wachimbaji wadogo wa dhahabu katika machimbo ya Shilalo na kuwahimiza kujiandaa kuyatumia masoko ya madini yanalotarajiwa kufunguliwa wilayani humo likiwemo soko la Shilalo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0