المدة الزمنية 5:17

JINSI YA KUANDAA LISHE .+

بواسطة MAJOMBO COMPANY
248 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2021/02/22

MWANAMKE KUPATA PERIOD MARA MBILI AU ZAIDI NDANI YA MWEZI MMOJA SABABU NI HIZI..... Kwa Wanawake wengi mzunguko wa hedhi huwa ni wa siku 28. Ingawa wengine huwa na mizunguko kuanzia siku 21 hadi 35. Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi kunaweza kutokea iwapo siku hizo za mzunguko zitakamilika katika mwezi mmoja. Kwa mfano, iwapo msichana anapata hedhi tarehe 1 mwezi wa saba, kama mzunguko wake ni siku 26 msichana huyu atapata tena hedhi katika tarehe 27 ya mwezi wa saba. Hivyo atakuwa amepata hedhi mara mbili katika mwezi mmoja. Vilevile, inatokea kwamba mwanamke anapata hedhi katikati ya mzunguko wake ( kwa mfano, baada ya siku 14 katika mzunguko wa siku 28 ). Zipo sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mwanamke akarudia hedhi katika mwezi. Sababu hizi ni kama 1.mabadiliko ya hali ya hewa au mazingira. 2.uvimbe katika kizazi( uterine fibroid) 3.kujikondesha (anorexia nervosa) 4.matumizi ya uzazi wa mpango 5.Hormone kutobalance 6.kufanya mazoezi kupita kiasi Ikumbukwe ni vigumu mwanamke kubeba ujauzito kama period yake inabadilika badilika ✔ *. usijali kuhusu ukubwa wa tatizo lako wala muda wa tatizo,fikiria kuwa lini unakwenda kupona kwa mimi pamoja na vituo vyetu tumedhamilia kuwa suluhisho la tatizo lako.* ✔ *Norland Female Healthy Pad* ni Pedi za kitaalam zilizo na dawa asili *KWA AJILI YA WANAWAKE WENYE MATATIZO YA MFUMO MZIMA WA UZAZI* . Pedi hizi *zimefanywa utafiti wa kina na kulewa vyeti vya ubora wa utendakazi wake. Imetengenezwa na % ya pamba Safi,kipande cha dawa asili na film inayopumua.* *Zimefanyiwa utafiti wa Kina Kwa zaidi ya miaka Kumi na maproffessa bingwa.Inavyo vyeti maradufu vya ubora wake.Hii dawa imetumiwa na wateja zaidi ya millioni 10 sasa duniani kote* ✔ *KWA USHAURI/TIBA WASILIANA NASI NORLAND HEALTH CENTER* Dr.Hamza majombo. +255679039663

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0