المدة الزمنية 7:27

Sheikh KISHKI Amkumbusha MAGUFULI, Alichomfanyia Akiwa Waziri

بواسطة Global TV Online
284 060 مشاهدة
0
1.4 K
تم نشره في 2019/05/19

Sheikh KISHKI Amkumbusha MAGUFULI, Alichomfanyia Akiwa Waziri! MASHINDANO makubwa ya Qur-aan Tukufu yanafanyika Leo Jumapili ,Mei 19, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo washiriki kutoka nchi 20 barani Afrika wanachuana kuwania taji la mshindi wa kuhifadhi Quraan... Mashindano hayo yameandaliwa na Taasisi ya Al-Hikma chini ya Sheikh Nurdeen Kishk.... Vijana kutoka Tanzania wanaoshiriki katika mashindano hayo ni Shamsuddin Hussein Ali (20), Mohammad Faiz Lardhi (19) na binti pekee Sumayya Juma Abdalah (12) ambaye anatokea Mkoa wa Pwani. Mgeni rasmi katika mashindano haya ni Rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.... #MASHINDANOYAQURAAN Https://www.youtube.com/watch/N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 296