المدة الزمنية 3:41

WAKUU WA SHULE WATUMIE VIZURI RASILIMALI FEDHA:- DAVID SILINDE

بواسطة GEL TV
1 789 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2020/12/27

Naibu waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI DAVID SILINDE amewataka wakuu wa shule kote nchini kusimamia rasilimali fedha zinazotolewa na serikali kwaajili ya kukamilisha miradi ya maendeleo na kuhakikisha wanafunzi wanapangiwa madarasa. Ameyasema hayo wakati anatoa hotuba kwenye mkutano mkuu wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania 🇹🇿 TAHOSA uliofanyika mjini Dodoma. ELIMU BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU KWA UCHUMI WA KATI. @globaleducationlink We Show You How. #WeShowYouHow #ElimuKwanza

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2