المدة الزمنية 8:10

VIDEO; MAYELE AMCHANA FEITOTO, Umeisaliti YANGA Kutetema MISRI Mwakani

95 870 مشاهدة
0
439
تم نشره في 2023/07/23

#yangaleo#yangaleo#yanga#simbasc#usajilimpya#jezimpyayasimba2023#mayele#kombelashirikishoafrica#feitoto

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 52
  • @
    @dianasamson9311قبل 9 أشهر Mayele you will always be in our heart. we love your spirit bro. Mungu akusimamie huko uendako. Mwanasoka imara mnyenyekevu, uliye na maadili na class="buttons"> upendo wa kweli. Kwa hivyo ulivyo utafika mbali sanaaa . na Ss wana Yanga tunakuombea Daima mbele nyuma mwiko. Our Champion Live Long ....وسعت 3
  • @
    @user-hn9sj6fp3gقبل 10 أشهر Tunakupenda Sana mayereeee mungu akakusimamie uko uwendako 4
  • @
    @FredsonHytham-dx4xkقبل 10 أشهر Aliyemfundisha kiswahili mayele katuletea balaa Kweli kweli 5
  • @
    @nicholauskilosa5336قبل 10 أشهر Mayele wewe ni Kipenzi cha wana Yanga,Tunakupendaa mnooooo mwamba Nenda lkn usisahau kwamba mashabiki wa Yanga tutakumiss 11
  • @
    @brysonkaale3003قبل 9 أشهر Mbali na kipaji Cha Mpira Mayele Ni mchezaji mwenye busara na adabu,Hana makuu! 3
  • @
    @mrsultanzimbwe6746قبل 10 أشهر Player wote tumewasahau waliondoka YANGA lkn Mwamba Mayele tutamuombea mema daima hana baya hana urojo rojo alafu pengo lke halijazibwa kamwe ..lkn kina Skudu Max na Pacome wametusaulisha kina mwembe ladu sptl ya wazazi. 5
  • @
    @dvoicemaxmia1182قبل 9 أشهر Fei umeanza kutoka maupele tena na vijipu uchungu hahaha pole sana 1
  • @
    @mohammedhimba1647قبل 10 أشهر Yaani Fei laati kama ungekuwa na sabra na kucheza mpaka wa mwisho shirikisho na ukakiwasha wallahi ungesajiliwa kwa pesa nyingi zaidi lakini ni fungu la kukosa 6
  • @
    @abdallahshaibu6106قبل 10 أشهر Beans mayele ninakuombea Kila la kheri MUNGU alinde kipaji chako. Maana umeondoka Yanga bila Guyana yoyote. Siyo mtu mmo hakutaka Yanga ifaidike. Lakini wewe mayele kiroho safiiiiu 2
  • @
    @queenmwasanguti2370قبل 8 أشهر Lait Feisali angekusikiliza, angekuwa mbali
  • @
    @ains1122قبل 10 أشهر Lakini asije kutetema kwa ligi ateteme huko nje 1
  • @
    @marryfelician1426قبل 9 أشهر Mayele Nimeumia sana kwa nini tu natamani ningekuwa na hiyo hela nikakununua ukabaki yanga afrikan huyo kilaza mwingine alitusaliti kabla kwa hiyo hatustui sana ....وسعت
  • @
    @gaudenciaantony5523قبل 9 أشهر Mayele lugha utadhani kazaliwa bongo,arudi akishindwa
  • @
    @tumainielmremi7912قبل 10 أشهر Yanga ni Bora kuliko FEI na Mayele. Bora Mayele FEI ni msaliti. 2
  • @
    @user-cc8le8bx5sقبل 9 أشهر Nakweli katuteka wengi unajunini ataruditu
  • @
    @user-ck3db6zv8tقبل 10 أشهر mayele nenda ila ukiona huko kumebana lud nyumban
  • @
    @pendokitalo2295قبل 10 أشهر Wao wanakikomo saivi vicheko klabu Siku zote haina kikomo 2
  • @
    @burudanitiv324قبل 10 أشهر Nyie wote ni mafara tuuuyy mipuuzi kweli 3
  • @
    @peninakuonewaقبل 8 أشهر Jamaa yako huyo amepoteana ateteme wakati ajui kuupiga bila sapota wazuri yanga hii ya mabao✋ mh balaaaaaa tunazidi kumsaau tu huyo bingwa wa faulo
  • @
    @PAULCHARLES-bf5fvقبل 10 أشهر Fei wee ndo unaifanyia umafia yanga, hta mayele umemharibu tareh 9 lazma utolew kwa machela 2
  • @
    @donaldbenedict5761قبل 10 أشهر Huyu dogo msaliti angalia mayele kawa muungwana leo anakula matunda yake misri 1
  • @
    @fucianejoseph5254قبل 10 أشهر Acheni umbea nyie ni wapitaji tu , from ukerewe 2geza is 1
  • @
    @IslahiMohamed-qi2jfقبل 10 أشهر Mpira maslahi tafuteni pesa musiwasikilize wasiojua maisha 2
  • @
    @dianasamson9311قبل 9 أشهر Mayele you will always be in our heart. we love your spirit bro. Mungu akusimamie huko uendako. Mwanasoka imara mnyenyekevu, uliye na maadili na class="buttons"> upendo wa kweli. Kwa hivyo ulivyo utafika mbali sanaaa . na Ss wana Yanga tunakuombea Daima mbele nyuma mwiko. Our Champion Live Long ....وسعت 3
  • @
    @marryfelician1426قبل 9 أشهر Mayele Nimeumia sana kwa nini tu natamani ningekuwa na hiyo hela nikakununua ukabaki yanga afrikan huyo kilaza mwingine alitusaliti kabla kwa hiyo hatustui sana ....وسعت